AyoTV

VIDEO: Zilizonifikia kutoka kwa Idris Sultan, Vanessa Mdee na Linah

By

on

Millardayo.com na AyoTV Entertainment kila siku inakusogezea vitu vyote ambavyo vimetrend na vingine ambavyo mastaa wamepost kwenye mitandao yao mbalimbali ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook na mingine.

Leo nimekusogezea walichopost Idris Sultan, Vanessa Mdee, Linah, Masanja Mkandamizaji na Baba Levo pamoja na story ya Kanjunju shabiki damu wa Yanga.

Bonyeza PLAY kwenye Video hapa chini kutazama>>>

VIDEO: Fursa kutoka kwa Rose Ndauka, Uhusiano wake na MC Pilipili Je?

Video: Kama ulimiss Ray kigosi alivyozindua filamu yake ya Gatekeeper, ugomvi wake na Johari je?>>>

Soma na hizi

Tupia Comments