Habari za Mastaa

Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Robin Thicke feat Nicki Minaj ‘Back Together’ – (Video)

on

thicke

Robin Thicke msanii wa RnB kutoka Marekani anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani, baada ya kuachia ngoma yake ya ‘Morning Sun’ staa huyu wa muziki Marekani amerudi tena kutupa burudani ya kipekee.

thicke-nicki-back

Back Together ni ngoma ambayo napenda kuitambulisha kwako ijumaa hii, ndani ameshirikishwa Nicki Minaj na kama bado hujakutana nayo basi karibu uitazame video yake hapa chini mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

 

Soma na hizi

Tupia Comments