Habari za Mastaa

T.I & Young Thug washirikiana kuisogeza kwetu ‘Off-Set’ (Video).

on

fnf73

T.I na Young Thug wanaziandika headlines za burudani kwa mara nyingine tena, baada ya kufanya kazi pamoja mwaka 2014 kwenye wimbo wa ‘About the Money’ time hii wanaisogeza kwetu ‘Off-Set’.

fnf74

Kitu kizuri kuhusu video hii ni kwamba wimbo wa ‘Off-Set‘ ni moja kati ya soundtracks za movie ya Fast Furious 7, na kama bado hujabahatika kukutana na video ya wimbo huo karibu uitazame hapa.


PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments