AyoTV

Utani wa Idris Sultan kwa Dully Sykes ‘Ukikosea tutakuchapa viboko’

on

NI Headlines za mchekeshaji Idris Sultan ambae Leo Sept 17, 2018 ametajwa kupata shavu la kuwa miongoni mwa watu wakaofanya kazi kwenye mashindano ya kusaka vipaji vya uimbaji yaani Bongo Star Search BBS 2019.

Sasa miongoni mwa vitu ambayo nimekusogezea ni hii ambapo baada ya kutambulishwa rasmi sasa akapewa kipaza sauti na kuanza utani wake kwa msanii wa Bongo Fleva Dully Sykes.

Soma na hizi

Tupia Comments