AyoTV

Video:Alikiba alivyoimba live ‘mshumaa’ kwenye after party iliyofanyika DSM

on

NI msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ambae usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2019 aliandaa After party ya kukutana na watu wake kusheherekea ujio wa msanii wake mpya aliemtambulisha kwenye lebo yake King’s Music Records aitwae Tommy Flavour pamoja na kutambulisha wimbo wake mpya uitwao Mshumaa.

Itazame hii video hapa ujionee mwanzo mwisho kilivyohappen kwenye After Party hiyo iliyoandaliwa na Alikiba

ULIIKOSA HII YA SHABIKI WA DIAMOND ALIVYOMRUDISHIA ALIKIBA PENSELI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments