Habari za Mastaa

VIDEO:Alikiba kafunguka Diamond BET, kumiliki magari makali ‘waache washindane’

on

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii baada ya kushuka kwenye jukwaa la show iliyoandaliwa na kipindi cha Clouds FM Leo Tena amekutana na wanahabari.

Staa huyo baada ya kuulizwa kuhusu Diamond kushiriki tuzo za BET alisema hapendelei kuulizwa swali hilo na akaulizwa pia kuhusu kumiliki magari makali, unaweza ukabonyeza play umsikilize alichokizungumza.

Soma na hizi

Tupia Comments