Habari za Mastaa

VIDEO:Alikiba kafunguka ishu ya kutoka na Diva kimapenzi ‘Alinifanya nikawa comfortable na yeye’

on

NI msanii kutokea Bongo Flevani Alikiba ambae Leo Mei 15, 2020 alifanya mahojiano kwenye  kipindi cha XXL cha Clouds FM na akaulizwa kuhusu kutoka kimapenzi na mtangazaji wa Ala za Roho, Loveness a.k.a Diva the Bawse.

Itazame hii video hapa ujionee alichozungumza mwanzo mwisho.

Soma na hizi

Tupia Comments