Je, mnamkumbuka Paul Alexander, mwanaume aliyekamata headline kutokana na simulizi ya maisha yake iliyoshangaza watu wengi na hii ni kutokana na kuishi kwake kwa kutumia mapafu ya chuma kwa zaidi ya miaka 70…sasa habari za hivi punde ni mwanaume huyo amefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii akiwa na umri wa miaka 78.
Mmoja wa wanachama wa taasisi inayoratibu michango ya matibabu yake amethibitisha kifo cha Alexander aliyekuwa akiishi jijini Dallas, Texas nchini Marekani.
Tazama zaidi….