Habari za Mastaa

VIDEO: Watanzania walivyochukua tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, Lagos Nigeria usiku wa March 5

on

Usiku wa March 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike kushinda tuzo mbili, kila mmoja akishinda tuzo moya kutoka Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, hii hapa chini ni video ya Lulu na Single Mtambalike walivyotangazwa washindi..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments