Mix

Video:Baada ya kulazwa kwa sita kwenye chumba cha ICU rapper French Montana atabasamu

on

NI Headlines za rapper wa kike, Megan Thee Stallion kutokea nchini Marekani ambae amefika kwenye hospitali aliyokuwa akipewa matibabu rapper French Montana na kuwadhihirishia mashabiki hali yake inaendelea vizuri.

Hapo awali iliripotiwa taarifa juu ya French Montana kufika katika moja ya hospitali kubwa nchini Marekani kupatiwa huduma ya matibabu ya maumivu aliyokuwa akiyasikia katika tumbo lake kisha kupelekea kulazwa kwa siku sita kwenye chumba cha ICU.

Rapper huyo anatarajiwa siku ya Ijumaa Novemba 29 kuruhusiwa kwenye nyumbani endapo afya itakuwa imara, hapa chini nimekuwekea video ujionee msanii mwenzake alipofika hospitalini kumjulia hali

Soma na hizi

Tupia Comments