AyoTV

VIDEO:Bibi alieibuka kwenye ziara ya RC Hapi adai kuibiwa pesa ‘Amtaja mjukuu na mtoto wake’

on

Ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ambae asilimia 20 anazitumia ofisini na asilimin 80 anazitumia kuwasikiliza wananchi na kutatoa kero zao, sasa leo amefika katika kijiji cha Ipogolo kuzungumza na wananchi kisha akaibuka Bibi kudai ameibiwa Laki Tatu na nusu.

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza mwanzo mwisho ujionee na maamuzi yaliyofanywa na RC Ally Hapi

Soma na hizi

Tupia Comments