Top Stories

VIDEO:Binti afariki familia yataka mahari huko mkoani Arusha

on

Ni Mkoani Arusha ambapo ripota wa Ayo TV na millardayo.com ambapo leo April 10, 2020 kwenye eneo ambalo hakuna maelewano kati ya Familia mbili baada ya binti kufariki akiwa kwa mwanaume ambaye inadaiwa kuwa alikuwa anaishi nae.

Tulikubaliana watoe ng’ombe mmoja,kondoo ambaye hajazaa,kreti nne za soda na shilingi elfu thelathini sio sisi tuliwapangia maana hatuwezi kupanga mahari ya marehemu”Zacharia

 

Soma na hizi

Tupia Comments