Habari za Mastaa

Hii ni nyingine mpya kutoka kwake Chris Brown; Liquor & Zero (Video).

on

Wakati tukiwa tunasubiria ujio wa album mpya ya Chris Brown, ‘ROYALTY’, msanii huyo wa R&B ameisogeza kwetu video nyingine mpya kutoka kwake ambayo kwa siku mbili amekuwa akiipromote video hiyo kupitia page yake ya Instagram kwa kupost picha siku ya kwanza na kipande cha video siku ya pili yake.

cb

Wimbo unaitwa Liquor & Zero na design kama video hii inaonesha video mbili kwa wakati mmoja ikiwa na urefu wa dakika 9… kama bado hujafanikiwa kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasamuziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments