Michezo

Video:Cristiano Ronaldo akiwafundisha watoto wake kusafisha mikono na Sanitizer

on

NI Headlines za mchezaji anaekipiga Juventus, Cristiano Ronaldo ambae kwenye hii clip ameonekanao akitoa somo kwa watoto wake namna ya kuweka mikono yao salama kwa kutumia Sanitizer kama njia ya kuepuka mlipuko wa Ugonjwa wa Covid-19 (CorinaVirus) .

Soma na hizi

Tupia Comments