AyoTV

Video:Dada wa kazi aliedaiwa kuuawa na boss wake kazikwa, Mama kafunguka mazito

on

Siku kadhaa tangu alipozikwa Salome Zacharia aliefariki baada ya kudaiwa kupigwa na aliekuwa Boss wake Mkami Shirima, Mama mzazi wa Salome, Mary Athanasi amesema Mama aliemchukua Mwanae na kumpeleka Arusha kufanya kazi za ndani aligoma kushuka kwenye gari kushiriki mazishi kwa madai ya kuogopa kupigwa.

‘Alifikisha maiti na kuondoka ila alifanya kosa kwa kutoshiriki mazishi maana Mtoto alimchukua yeye”

Soma na hizi

Tupia Comments