Top Stories

Video:DC Katambi baada ya kumhoji mchekeshaji Masanja huko Dodoma

on

Ni April 4, 2020 ambapo mchekeshaji Masanja Mkandamizaji alifika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Dodoma DC Katambi kuhoji kuhusu clip iliyokuwa ikisambaa ambayo ilimuonesha akihoji watu na kufanya utani kuhusu janga la Corona Virus (Covid-19).

Soma na hizi

Tupia Comments