Top Stories

VIDEO:DC Nikk wa Pili kazi imeanza, aanza kukagua Miradi mbalimbali

on

Ni Headlines za Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nickson Simon a.k.a Nikk wa Pili ambae tayari ameshaanza ukaguzi wa miradi  mbalimbali mara tu baada ya kuapishwa kuwatumikia wananchi wa wilayani hapo.

Akizungumza na Ayo TV & Millardayo.com alisema..’Leo nikiongozana na kamati ya usalama, Mkurugenzi pamoja na wakuu wa idara, kwa siku nzima tulikuwa kata ya Sungwi tukipitia miradi ya maji, ujenzi, tehama, uwezeshaji wa vijana na barabara,lengo nikujifunza haraka, kwa sababu kujifunza kwa kuona unaelewa haraka, kwa hivyo naanzia field ndio niende kwenye mafaili’- DC Nikk wa Pili

VITUKO VYA MAKONGORO NYERERE AKIAPISHA “SIJAWAHI KUAPISHA MA-DC, MREMBO ANA MVUTO”

Soma na hizi

Tupia Comments