AyoTV

Kazi ya zile bilioni 4 za Dec 9 alizoagiza Rais Magufuli imefikia hapa (+video)

on

Kwenye siku ya Uhuru wa Tanzania kutimiza miaka 54 December 9 2015 hakukuwa na shamrasha zozote wala gwaride kama tulivyozoea kuona kwa miaka iliyopita, imekua hivi baada ya agizo la Rais John Pombe Magufuli aliyetaka pesa za shamrashamra hiyo zitumike kuondoa matatizo ya Wananchi.

Kwa mamlaka aliyonayo kisheria, aliamuru siku hiyo Watanzania wafanye usafi kwenye maeneo yao na bilioni nne zilizokua zitumike kwenye sherehe hizo, zikatumike kupanua barabara ya Mwenge – Morocco Dar es salaam ambapo camera ya AyoTV imepita December 11 kuona ujenzi ulikofikia, bonyeza play kweye hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments