AyoTV

VIDEO:Ebitoke kaingia Miss Tanzania, ajigamba yeye ni mshindi

on

Ni Headlines za mchekeshaji Ebitoke ambae time hii ametangaza rasmi  kuingia kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2020, Sasa Ayo TV imempata kwenye mahojiano  na amefunguka hapa.

 

ULIIKOSA HII WATOTO RUGE WALIVYOTOA SHUKRANI ZAO WALIODHURIA IBADA YA BABA  YAO 

Soma na hizi

Tupia Comments