Habari za Mastaa

VideoFUPI: Irene Uwoya aendelea kuwalilia Masogange na Ndikumana

on

Mwigizaji Irene Uwoya ameonyesha ni jinsi gani kufiwa na watu wake wawili ndani ya kipindi kifupi kunavyoendelea kumuumiza na hawezi kusahau leo wala kesho, Irene ameweka picha kadhaa za wawili hao ambao ni Rafiki yake kipenzi Agness Gerald ‘Masogange’ na Mumewe wa zamani Ndikumana, tazama kwenye hii video fupi hapa chini

VIDEO: HATARI !! Simba amshambulia Mzee, usiijaribu hii hata sekunde moja

VIDEO: IRENE PAUL AFUNGUKA!! MASOGANGE ALINILALAMIKIA RAMMY GALIS ANAPENDA MTEREMKO

Soma na hizi

Tupia Comments