Habari za Mastaa

Video:Gigy Money alivyoibuka na mwanae kwenye shughuli ya mtoto wa Uwoya

on

Msanii Gigy Money ni miongoni mwa waalikwa kwenye shughuli ya mtoto wa Irene Uwoya ambapo Gigy amekuja na mtoto wake Mayra, baada ya Gigy Kuwasili amezungumza  mbele ya waandishi wa habari ambapo amefunguka kuhusu adhabu yake kuisha aliyokuwa amepewa na BASATA. play kutazama

‘Nimejifunza vitu vingi naamini nilipitia katika kipindi kibaya sana na sitotegemea  itatokea tena kuna kushuka kuna kupanda na kuna kufulia na kuna kulala masikini na kuamka tajiri’ Gigy Money baada ya kuulizwa kuhusu adhabu ya BASATA

 

WOLPER NA MZAZI MWENZA RICHI MITINDO WALIVYOENDA KUMTUNZA MTOTO WA IRENE UWOYA MIHELA

Soma na hizi

Tupia Comments