Top Stories

VIDEO: Gwajima katema cheche, amuandikia Waziri Mkuu “Mimi sipigi bla blaa”

on

NI Headlines za Mchugaji Gwajima ambae Mei 10, 2020 amesimama Kanisani kwake na kuelezea kuhusu kuandika barua kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa namna ya kwenda kuonana na wenye Ugonjwa wa Covid-19.

Itazame hii video ujionee alichozungumza mwanzo mwisho leo Kanisani Kwake.

 

Soma na hizi

Tupia Comments