Habari za Mastaa

Video:H baba kafunguka ‘Harmonize kanirudisha kwenye muziki, uongo wanapotosha jamii’

on

Msanii H Baba amefunguka mengi ikiwemo kusaidiwa na Harmonize kurudi tena kwenye game baada ya kupewa kolabo ya pamoja na Awilo Longomba.

Staa huyo akizungumza na Ayo TV & Millardayo.com alisema ‘Kila kitu kina wakati wake na wakati wa H.Baba wa zamani ukaisha na sasa nimerudishwa na Harmonize kwenye muziki kuna utofauti tu wa H Baba wa kipindi kile na H Baba wa sasa‘-H Baba

Harmonize ni mdogo wangu na tunaheshimiana sana sana kwahiyo mimi siishi kwa kwamba labda nakula hapana mimi siongei sabaya, mimi naongea kile ulichozungumza wewe ndio mimi naenda kuwarudishia wananchi ‘- H Baba

BIRTHDAY DINNER YA AWILO LONGOMBA, ATIMIZA MIAKA 59 AKIWA BONGO, AKATA KEKI NA WATU WAKE WAKARIBU

Soma na hizi

Tupia Comments