Michezo

VIDEO:Haji Manara uso kwa uso na Maulid Kitenge, Manara kafunguka jezi mpya za Simba

on

NI Novemba 20, 2020 ambapo Mtangazaji Maulid Kitenge amekutana na msemaji wa Simba SC Haji Manara wamekutana na hafla iliyoandaliwa na Azam ambapo leo wamewaalika mastaa mbalimbali kushuhudia walichokiandaa usiku wa leo.

Sasa itazame hii video hapa ujionee Haji Manara na Maulid wakifunguka baada ya kukutana uso kwa uso mbele ya waandishi wa habari.

 

Tupia Comments