Habari za Mastaa

VIDEO:Hanscana kafunguka, kafafanua sakata la wasanii kununua views ‘Mimi situmiki, anaetaka anitafute’

on

Baada ya Director Hanscana kudai anaweza kuwauzua wasanii views huku akionesha mfano wa jinsi baadhi ya wasanii hufanya, Ayo TV imempata kwenye mahojiano na hapa amefafanua kuhusu hilo na kudai ni wasanii wengi wamemtafuta kutaka views.unaweza ukabonyeza play ukamtazama Hanscana akifunguka.

 

MTAALAMU WA MITANDAO AMPINGA HANSCANA KUDAI WASANII HUNUNUA VIEWS YOUTUBE “HAIWEZEKANI”

Soma na hizi

Tupia Comments