Habari za Mastaa

VIDEO:Harmonize kafunguka kuhusu Kajala ‘Kupelekwa Polisi/Nimemsamehe

on

Ni Headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii amefunguka mbele ya waandishi wa Habari kuhusu ishu yake na Kajala kuanzia kupelekana Polisi, kuchora Tattoo na mengineyo. Bonyeza play kumsikiliza alichokisema Harmonize

 

HARMONIZE AFUNGUKA ISHU YA KAJALA, KUPELEKWA POLISI, TATTOO “NIMESAMEHE’

Tupia Comments