Habari za Mastaa

VIDEO:Harusi ya Majizo na Mwigizaji Lulu, hatimae imetimia wafunga ndoa kanisani

on

NI headlines za mmiliki wa kituo cha Radio Tanzania E FM & E TV,   Bw.Francis a.k.a Majizo ambae kupitia ukurasa wa akaunti ya instagram ya kituo chake EFM  kimethibitisha ndoa yake na mpenzi wake mwigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu.

Bonyeza play kushuhudia video na picha namna ndoa hiyo ilivyofungwa kanisa, pia endelea kukaa karibu na Ayo TV & Millardayo.com tunaendelea kwatafuta wawili hao ili wazungumze chochote kuhusu ndoa yao.

 

UKWELI KUHUSU HARMONIZE KUONEKANA JANA POLISI ISHU YA MTOTO WA KAJALA, MENEJA KAFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments