Burudani

Video:Heshima aliyopewa Nipsey Hussle na waandaji tuzo za Grammy’s 2019

on

NI Headlines za waandaji wa tuzo za Grammy’s ambapo wametoa heshima kwa The Late Rapper Nipsey Hussle kwa kuweka suti aliyowahi kuivaa rapper huyo katika tuzo zilizopita.

Waandaji hao wameiweka suti hiyo katika jumba lao la Makumbusho huko nchini Marekani ikiwa katika kumuenzi rapper huyo.

Nipsey Hussle pia ametajwa kuwania vipengele vitatu kwenye tuzo hizo kubwa za muziki za mwaka 2020 ikiwemo, Best Rap/Sung Performance, Best Rap Performance na Best Rap Song.

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE ALIVYOKUTANA NA ROTIMI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments