Burudani

Video:Hii ndio Ferrari aliyojizawadia msanii wa Nigeria Burna Boy

on

Mbali na kwamba Burna boy ameingia kwenye orodha ya wasanii wa Nigeria wanaokubali na kupendwa kutokana na muziki wao sasa habari njema nyingine ni kwamba msanii huyo leo Desemba 17, 2019 ameonekana akiwa anaendesha  gari jipya aina ya Ferrari 458 ya Mwaka 2013.

Mitandao mbalimbali kutokea nchini Nigeria imeripoti kwamba Burna Boy ameamua kujizawadi gari hilo kisha kuonekana  nalo mtaani akiliendelesha.

Unaambiwa inathamani ya fedha za Marekani Dolla laki 300 ambazo ni sawa na fedha za kitanzania Milioni 600 

Soma na hizi

Tupia Comments