Burudani

VIDEO:Huyu ndie mpenzi wa mwigizaji Rose Ndauka amvisha pete ya uchumba kimya kimya

on

Ni Headlines za Mwigizaji wa Filamu Rose Ndauka ambae hakupenda kumzungumzia wala kumtaja mpenzi wake hadharani, sasa leo Ayo TV tumeinasa video ikimuonesha mpenzi wake aitwae Hafidhi akimvisha Pete ya Uchumba.

Unaweza ukabonyeza play hapa ujionee mwanzo mwisho Rose Ndauka akivishwa PETE 

Soma na hizi

Tupia Comments