Habari za Mastaa

Video:Jux afunguka ‘Vanessa ndio aliniacha, sijaongea nae miezi 10 sasa’

on

NI Msanii kutokea Bongo Flevani, Jux ambae time hii alizungumza na Shaffiweru kupitia insta Live na miongoni waliyozungumza ni kuhusiana na kuvunjika kwa penzi lake na Vanessa Mdee.

Bonyeza play kuitazama video hii mwanzo mwisho ujionee alichozungumza Jux

Soma na hizi

Tupia Comments