Habari za Mastaa

Karibu tena mtu wangu, Jux kaisogeza kabisa full Video- Feat. Joh Makini– ‘Looking For You’

on

JuX II

Ni siku moja imepita toka wimbo wa staa wa Bongo Fleva, Jux uguse headlines kubwa za Burudani Africa ambapo kwenye historia ya safari yake ya muziki huu unakuwa wimbo wake wa kwanza kuruka kwenye TV kubwa duniani…

“Looking for You” Feat. Joh Makini kwa mara ya kwanza imeanzia kuruka kwenye Kituo cha MTV Base.kj2

Jux ameona sio mbaya tukiendelea kufaidi yale mazuri kutoka kwake, ametusogezea official video ya wimbo wake Looking For You, video imetengenezwa South Africa chini ya usimamizi wa Gorilla Films na Video Director anaitwa Justin Campos.

Nimekusogezea video hiyo hapa chini bonyeza play kuitazama mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments