Habari za Mastaa

VIDEO:Kampuni ya Netflix kuileta makala ya ‘Michelle Obama’

on

Kampuni ya Netflix wamedokeza ujio wa filamu fupi (documentary) ya Michelle Obama iitwayo  ‘Becoming’ Kampuni hiyo ya kuonesha vipindi na filamu mtandaoni imeweka tangazo la ujio wa documentary hiyo ambayo itaonesha  ziara ya miji 34 iliyofanywa na Michelle Obamba wakati akizindua kitabu zake.

Sasa hapa tarama trailer ya Documentary hiyo ya Michelle Obama

Soma na hizi

Tupia Comments