Habari za Mastaa

Video:Khadija Kopa kafunguka yuko tayari kumpa Ben Pol mwanae amuoe

on

Mwimbaji wa Taarabu Khadija Kopa amesema yupo tayari kumpa Ben Pol Mwanae Zuchu amuoe, amezungumza hayo baada ya kuulizwa kuhusiana na kile alichoongea Ben Pol kuhusu Zuchu pale alipokutana na Khadija Kopa Dodoma kwenye Futari. PLAY kutazama.

 

Soma na hizi

Tupia Comments