Tukiwa bado kwenye sakata la Corona Virus sasa leo April 6, 2020 Khadija Kopa na Barnaba wamezungumzia ugonjwa huo na kuwataka wananchi kuepuka mikusanyiko isiyo na ulazima.