Top Stories

VIDEO:Kijana miaka 24 agawa fedha mitaani,akutana na mama Barabarani kumpa Milioni 23

on

Jaymazini ni kijana mwenye  umri wa miaka 24 kutokea Palestina ambae anaendelea kumiliki vichwa vya habari mitandaoni baada ya video zake zikisambaa zikimuonesha akitoa misaada kwa kugawa Fedha.

Sasa time hii nimekusogezea hii ikimuonesha Jaymazini akimpatia fedha Mama aliekutana nae Barababarani na kumgawia Dolla Elfu 15 za Kimarekani ambapo ni sawa na Milioni 23 za kitanzania.

Tupia Comments