Top Stories

Video:Kitwanga azungumza kwa uchungu sana ‘Hii ni zaidi ya Lugumi nitakapozungumzia mtajua’

on

NI Mbunge Kitwanga ambapo April 27, 2020  alisimama kutoa hoja kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania huko mkoani Dodoma.

Kwa mara ya kwanza leo siungi mkono hoja ya Serikali yangu, nitaandika kwa katibu mkuu kwa nini siungi mkono hoja na kwa mara ya kwanza atatokea mbunge wa CCM kwenye hoja kuu ya waziri wa fedha atakayesema hapana kwa sababu ya wizara hii (wizara ya maji)’- Mbunge Charles Kitwanga

‘Nianzie na hili la mkopo wa India ambalo tumesomewa kwa kirefu leo, bila kufanya marekebisho kwenye hilo mimi sitaunga hoja ya serikali kuu kwa sababu najua kinachoendelea, kama mlisema kuhusu Lugumi hii ni zaidi ya Lugumi na siku nitakapopata nafasi ya kuzungumzia Lugumi mtajua” mbunge wa Misungwi Charles Kitwanga

ULIIKOSA HII YA MBUNGE SELASINI ASHTAKI KWA SPIKA, ADAI KUTENGWA ITAZAME HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments