Michezo

VIDEO:Kwa kipindi hiki cha Janga la Corona, Ronaldo atoa somo la mazoezi

on

NI Headlines za mchezaji anaekipiga Juventus, Cristiano Ronaldo ambae kwa kipindi hiki cha janga la Corona Virus (Covid-19) ameamua pia kutumia muda wake kwa kutoa somo la mazoezi kwa mashabiki wake.

Itazame hii video hapa ujionee akielezea mwanzo mwisho.

ALIKIBA KAELEZA MAISHA BILA KILLY NA CHEED BAADA YA KUONDOKA KING’S MUSIC ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments