Top Stories

VIDEO:Kwa Uchungu Polisi wa Marekani adondosha machozi mbele ya waandamanaji

on

Ikiwa bado maandamano yanaendelea nchini Marekani wa kupinga uonevu wa Polisi dhidi ya watu weusi, hii ilibuka baada ya George Floyd kufariki kwenye mikono ya Polisi siku kadhaa zilizopita huko Minneapolis.

Sasa time hii nimekutana na hii ya Polisi akiongea kwa uchungu huku akidondosha machozi kuhusu kile kinachoendelea nchini humo mbele ya waandamanaji.

HUZUNI…MWANAMKE ALIYEZAA NA GEORGE FLOYD ALIEFARIKI MIKONO MWA POLISI, AMWAGA MACHOZI

Soma na hizi

Tupia Comments