Habari za Mastaa

VIDEO:Live mbele ya Jux, Otile awatamani lulu na Dj Sinyorita, asema haongei na Vera

on

NI Headlines za mkali kutokea nchini Kenya, Otile ambae sasa chache zilizopita alikwenda live kupitia ukurasa wake wa instagram na Jux, na miongoni mwa Mazungumzo yao Otile akasikika kuwataja warembo kutokea Tanzania anaowakubali akiwemo Mwigizaji Elizabeth Michael na Dj Sinyorita.

Itazame hapa video ujionee mazungumzo yao mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments