Top Stories

VIDEO:Lwakatare afunguka yaliyoendelea Group la whatsApp Chadema/ Kufukuzwa

on

NI Mei 11, 2020 ambapo  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilitangaza kuwafukuza uanachama wabunge wanne akiwemo Mbunge Wilfred Lwakatare.

Sasa Mbunge huyo amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza haya…‘Pamoja ya kwamba mimi nimefukuzwa chama, wenzangu wengine wamesimamishwa wameambiwa wajieleze, mimi bado kimsingi naona sikutendewa haki na taratibu za chama zilivyo ndani katiba zinanielekeza usiporidhika ndani ya siku 14 unaweza kukata rufaa’- Mbunge Wilfred Lwakatare

‘Jambo ambalo nilikuwa nalisubiri ni la kuitwa na kuhojiwa hilo halikufanyika na chama sijawahi kukikosea, nahitaji kama siku tatu nizungumze na wadau niwaulize kama nikate rufaa au nisikate rufaa, rufaa ni haki yangu”-Mbunge Wilfred Lwakatare (CHADEMA)

 

LICHA YA KUFUKUZWA CHADEMA, LWAKATARE ASIMAMA BUNGENI NA KUTOA HOJA ZAKE WIZARA YA ARDHI

Soma na hizi

Tupia Comments