Ad

Top Stories

VIDEO:Lwakatare alivyowavunja Mbavu wabunge asema ‘Kiti cha Mbowe sijakikalia kipo hapa’

on

Ni Headlines za Mbunge Wilfred Lwakatare ambae leo Mei 13, 2020 alisimama Bungeni kuchangia Hoja, sasa katikati akamzungumzia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kupelekea Wabunge wakacheka.Itazame hii video hapa ujionee kile kilichojiri Bungeni Dodoma.

WAZIRI KABUDI ALIVYOLIELEZA BUNGE KUHUSU DAWA YA CORONA ALIYOIFUATA MADAGASCAR ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments