Top Stories

VIDEO:’Mabango kwa Rais Samia yawe na nia nzuri’- RC Chalamila

on

Mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati akizungumzia ujio wa Rais Samia Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu amegusia suala la Wananchi kujitokeza na mabango mbele ya Rais kuwa yawe na nia njema na wasingoje hadi ujio wa Rais kwani ofisi yake ipo wazi muda wote.

RAIS SAMIA AMTEUA MRITHI WA MSIGWA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

 

 

 

Tupia Comments