Top Stories

Video:Madaktari wa Mifugo waja na njia mpya kujikinga na Corona Virus

on

NI Headlines za Madaktari wa Mifugo ambapo katika kuepuka  janga la Corona Virus sasa wamekuja na njia mpya kwa kuwasaidia madaktari wenzao namna ya kujikinga janga hilo.

Unaweza ukaitazama hii video hapa ujionee Dkt Furaha Mramba Mtendaji Mkuu wa wakala wa Maabara (TVLA) akielezea mpango huo

PART 2 MTANZANIA WA KWANZA KUPONA CORONA TZ: “SIJAJIFUKIZA NAFANYA MAZOEZI”

Soma na hizi

Tupia Comments