Top Stories

Video:Majaji wa Bongo Star Search wafunguka kwenye fainali usiku huu

on

Ikiwa January 29, 2021 zinafanyika fainali za mashindano ya Bongo Star Search zinazofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza, sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com imewapata majaji Ommy Dimpoz, Master Jay, Madam Rita.

TAZAMA MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WAKIFUNGUKA KWENYE FAINALI USIKU HUU

 

UTAPENDA..!! LIVE PERFORMANCE YA NANDY KWENYE STAGE YA BSS MUDA HUU

Soma na hizi

Tupia Comments