Habari za Mastaa

VIDEO:Majibu ya Diva baada ya taarifa kusambaa kufukuzwa kazi Clouds Media Group

on

Ni Mtangazaji Loveness aka Diva The Bawse ambae leo amemjibu shabiki juu ya taarifa zilizokuwa zikisambaa kupitia mitandao ya kijamii zilizodai kuwa amesimamishwa kazi  Clouds Media Group.

Itazame hii video hapa ujionee jibu la Diva The Bawse

Soma na hizi

Tupia Comments