Mix

VIDEO:Mama asingizia mtoto amekufa ‘Ghafla mtoto akaibuka kwenye mkutano’

on

Ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ambae asilimia 20 anazitumia ofisini na asilimin 80anazitumia kuwasikiliza wananchi na kutatoa kero zao, sasa leo amefika katika kijiji chaIpogolo kuzungumza na wananchi hapa nimeinasa hii ya Bibi aliefika mkutano na kusingizia mtoto wake amefariki kisha ghafla mtoto wake akaibuka kwenye mkutano.

Itazame hii video ujionee kilichotokea mwanzo mwisho kwenye mkutano huo

 

KUTOKA IRINGA” CHUPA ZA SODA  WANAWEKA MIKOJO  

 

Soma na hizi

Tupia Comments