Top Stories

Video:Mama Janeth Magufuli ashindwa kujizuia, Wananchi walia huku wakisema ‘Ngao yetu imeondoka’

on

NI Simanzi na Majonzi vimetawala wakati Mwili wa mpendwa wetu Dkt John Pombe Magufuli ukitoka kwenye ibada iliyofanyika kanisa la St. Peters na kuelekea kuagwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Sasa hapa nimekusogezea hii video ikimuonesha mjane Mama Janeth Magufuli wakati akitoka kwenye ibada iliyofanyika katika Kanisa la St. Peters akielekea  uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ambapo ndio mahali  zitakapofanyika shughuli za kuuwaga  mwili wa hayati Dkt John Pombe Magufuli.

LIVE: KUAGWA KWA MAGUFULI UWANJA WA UHURU, MAELFU YA WATU WAJITOKEZA, SIMANZI NA VILIO VYATAWALA

 

Soma na hizi

Tupia Comments