AyoTV

Video:Mama Kanumba kafunguka ‘Sijui nani atanizika, Mungu nipe nguvu’

on

Mama wa Marehemu Seth Bosco, (Mama Kanumba) akielezea hali ya Seth ilivyobadilika mpaka umauti kumkuta, pia amezungumzia taratibu za Mazishi ambapo amesema wanatarajia kumzika hapahapa Dar es Salaam siku ya Jumatatu japo wanawasubiri Ndugu wengine ili wajadili zaidi.

Itazame hii video hap ujionee alichokizungumza Mama Kanumba

ULIIKOSA HII YA ALIEKUWA AKIMUHUDUMIA SETH KASIMULIA MWANZO MWISHO ITAZAE HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments