Top Stories

VIDEO:Mama Salma Kikwete alivyosimama Bungeni ‘Wageni wakiingia wajifunze lugha yetu’

on

NI Mbunge wa kuteuliwa, Mama Salma Kikwete  ambae leo Mei 13, 2020 alisimama kuchangia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashabiki ambapo amependekeza wageni wanaoingia nchini kujifunza Lugha ya Kiswahili, itazame hii video hapa ujionee alichozungumza.

MBUNGE DAVID SILINDE AMESIMAMA KUCHANGIA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHABIKI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21


Tupia Comments